Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba kueleweshwa maana ya double chance na over sijui under
karibu chamani

doble chance ni kuzipa team option zaidi ya moja, mfaano.

1x home team win or draw
2x away team win or draw
12 home team or away team win

over or under ni idadi ya magoli isivuke option (number) uliyochagua, mfaano.

over 0.5 yani team au match kulingana na ulivyochagua ipate kuanzia goli moja
 
Mkuu matreni vipi leo
 
Naendelea kukopesha mitaji ya kubeti
ndani ya siku 3 hela irudi chap.
elfu 5 unaleta elfu 10
elfu 10 unaleta elfu 20
kwa wakazi wa mwanza tu.
dhamana unaweka simu ndogo/ama kitu kinachoweza uzika mara 2 ya thamani ya mkopo wako
text me 0713096076
View attachment 2144039
Kwamba una riba ya asilimia 100%
wewe ni mwizi kama waizi wengine
 
Kwamba una riba ya asilimia 100%
wewe ni mwizi kama waizi wengine
Ukibeti mkeka wa buku ukala elfu 30 kutokana na mkopo wangu unakuwa umepoteza nini?

punguza povu kijana

nasaidia sana watu hapa mtaani kwangu

umilionea nautafuta sana
Screenshot_20220309-094436.png
 
Back
Top Bottom