Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,700
- 2,904
Kupata likizo mara moja moja ni afya sana 😁Yah man
Unakula za uso kila siku inatakiwa uangalie urud nyuma 😃😃😃😃
Kupata likizo mara moja moja ni afya sana 😁Yah man
Unakula za uso kila siku inatakiwa uangalie urud nyuma 😃😃😃😃
YapKupata likizo mara moja moja ni afya sana 😁
Twende taratibu ila nitachanganya lugha ili tuelewane vizuri.Sijaelewa kabisa.
Yamefika matanoYap
Kama leo nimebet live mech ya bayern isizidi goli 7 lakn anaongoza 4 sahv [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Betting ni devilish
wasamehe bure leo waliingia kupaki basiLiverpool ahsante kwa kazi nzuri ,
Win either half umeshindwa kutoa
Hawana faida yyt , hawajui kupambania stake zetu😀wasamehe bure leo waliingia kupaki basi
Safi ,huku ndo kubet mechi moja au mbili stake kubwA,ushindi 75% uhakika,sio matreni kushinda kwa miaka mara moja
Naomba matokeo ya hii.99FPV
Daah hawa kima wameniharibia sanaLiverpool ahsante kwa kazi nzuri ,
Win either half umeshindwa kutoa
Mkuu hiyo ni sawa na odds 2 za uhakika, sio kama zetu za kina liverpool. Hongera kwa ubunifu.Naendelea kukopesha mitaji ya kubeti
ndani ya siku 3 hela irudi chap.
elfu 5 unaleta elfu 10
elfu 10 unaleta elfu 20
kwa wakazi wa mwanza tu.
dhamana unaweka simu ndogo/ama kitu kinachoweza uzika mara 2 ya thamani ya mkopo wako
text me 0713096076
View attachment 2144039
Utapoteza hela tu kaka akuna mjinga wa kukupa bilion wewe umeweka 2000Jamani tuna haja ya kuchambua hii kitu
View attachment 2144030View attachment 2144031View attachment 2144032View attachment 2144034
Jana liver kaenda na Kijiji .. labda waliweka underLiverpool ahsante kwa kazi nzuri ,
Win either half umeshindwa kutoa
Kama ndo unahnza Anza tafuta app ya m bet niraisi kuelewa .. mwenyew nilianzia uko na ndo app ninayo feel comfortable kubetia ..Sijaelewa kabisa.
"For the taste of your whiskey, I'll give some advice""And somewhere in the darkness, the gambler he broke even"