raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 12,030
- 37,571
Yah manPana ujumbe mkubwa sana hapo mkuu
Unakula za uso kila siku inatakiwa uangalie urud nyuma 😃😃😃😃
Yah manPana ujumbe mkubwa sana hapo mkuu
Mbona gemu za leo kubwa (liver pool na intermilan) 22 bet haipo mfano redcard na penalty22bet,Meridian bet, na Parimatch bet.
Ikumbukwe kuwa option hiyo huwekwa kwa game kubwa tu.
Mkuu wewe unaitafuta kwenye 22bet gani?? Zipo hizo option.Mbona gemu za leo kubwa (liver pool na intermilan) 22 bet haipo mfano redcard na penalty
Option hizo zipo kaangalie vizuri kwenye ALL MARKETSMbona gemu za leo kubwa (liver pool na intermilan) 22 bet haipo mfano redcard na penalty
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii tayari lost
Mimi namshauri tu kwamba,, hizo option ni moto wa kuotea mbaliOption hizo zipo kaangalie vizuri kwenye ALL MARKETS
Nimeweka 100 ngoja nichungulie muenendoSportyBet.
BCEZFP9
Kwa kutumia mathematics....
Huu mkeka una 95% ya kuchanika.
Winning ni 5% only.
Kwa kutumia hisia...
Huu mkeka uta win kwa 99/%
Kumbuka sometimes hisia zinaponza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una kifua lakini cha kuhimili msongo wa mawazo? Huku kunataka moyo!Naomba kueleweshwa maana ya double chance na over sijui under
Inabidi awe na dozi ya ile dawa ya usingizi kila akipigwa huyuUna kifua lakini cha kuhimili msongo wa mawazo? Huku kunataka moyo!
22Bet 99FPVNaomba kuuliza hivi ni kampuni gani ina option ya Red card au penat
Double chance_ timu yoyote ishinde maana isipatikane sare yeyote au timu flani ishinde au ipate sareNaomba kueleweshwa maana ya double chance na over sijui under
Hapo kwenye DC muelekeze vizurDouble chance_ timu yoyote ishinde maana isipatikane sare yeyote
Over_ yapatikane magoli zaidi ya,,,
MF, over 1.5 yapatikane magoli kuanzia 2 na kuendelea
Under,_ magoli kuanzia na kushuka
MF; under 2.5 yapatikane magoli 2 kushuka chini
Muelekeze vizur hapo kwenye double chance, asije akalipuka tu na 1 2 atapigwa achakae mapema sanaDouble chance_ timu yoyote ishinde maana isipatikane sare yeyote
Over_ yapatikane magoli zaidi ya,,,
MF, over 1.5 yapatikane magoli kuanzia 2 na kuendelea
Under,_ magoli kuanzia na kushuka
MF; under 2.5 yapatikane magoli 2 kushuka chini