Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba kueleweshwa maana ya double chance na over sijui under
Double chance maana yake ni kwamba unatabiri matokeo ya aina mbili kwa wakati mmoja e.g

1X hapa maana yake ni kwamba timu ya nyumbani (1) itashinda au mpira utamalizika kwa sare(X) (iwe ya kutofungana au kufungana)

X2 Hapa maana yake ni kwamba matokeo ya mechi yatakuwa sare(X) au timu ya ugenini(2) itashinda

12 Hapa maana yake unatabiria either timu ya nyumbani (1) itashinda au timu ya ugenini(2)itashinda.

Kila la Kheri mjukuu wa lowasa
 
Una sifa za kuwa mwalimu. Asipoelewa hapa, aache kubeti mara moja maana betting ni shule tosha.
 
Double chance maana yake ni kwamba unatabiri matokeo ya aina mbili kwa wakati mmoja e.g

1X hapa maana yake ni kwamba timu ya nyumbani (1) itashinda au mpira utamalizika kwa sare(X) (iwe ya kutofungana au kufungana)

X2 Hapa maana yake ni kwamba matokeo ya mechi yatakuwa sare(X) au timu ya ugenini(2) itashinda

12 Hapa maana yake unatabiria either timu ya nyumbani (1) itashinda au timu ya ugenini(2)itashinda.

Kila la Kheri mjukuu wa lowasa
Sijaelewa kabisa.
 
Nahisi mechi za UEFA Champions League Leo Kuna Team moja kati hizi zitashinda 5 bila
FT: Liverpool 5 - 0 FC Internazionale
FT: Bayern Munich 5 - 0 Red Bull Salzburg
Huyu bayern anaweza kumpiga mtu 5 bila kwel maana form yake si nzuri na salz nao wako vzr
 
Option zangu zimekaa kibahati zahidi, hivyo huwa ninatupia tu, Cox nature ya Optn ukiopt NO probability ya green light ni kubwa... stake low BIG result

  • Race NO
  • Sending Off NO
  • Substitute player to score NO
  • Penalty Awarded NO
  • Penalty Awarded or Sending Off NO

zote hizo rate range mostly 1.2-1.8 inategemea na option.

ndio maana nimekuwa situpii mikeka Coz ni suala la kutupia tu.

View attachment 2140380

View attachment 2140381

View attachment 2140382

View attachment 2140383
Ni kampuni gani hii chief?
 
Sijaelewa kabisa.
Usijiwekee ugumu wa kutoelewa,angalia hapo,hiyo 1x maana yake wa nyumban ashinde au droo,hiyo 12 maana yake ashinde yeyote Hapo ikitoka droo umeliwa,X2 maana yake ashinde wa ugenini au droo.
NB:TIMU YA KWANZA KUANDIKWA NDIYO YA NYUMBANI

over 1.5 maana yake magoli yaanzie mawili na kuendelea mfano 1 kwa 1,under 1.5 maana yake magoli yasifike mawili
Over 2.5 maana yake magoli yaanzie 3 na kuendelea eg 2:1,3:0,3.1,under 2.5 yafikie matat eg 2:0,1:1
Over 3:5 mgoli 4 na kuendelea,under 3.5 maana yake yasifike manne,usipoelewa hapo Bora uendelee na siasa
Screenshot_20220308-225653.jpg
 
"Every gambler knows
That the secret to survivin'
Is knowin' what to throw away
And knowin' what to keep.
'Cause every hand's a winner,
And every hand's a loser,
And the best that you can hope for
Is to die in your sleep."
_Song:The gambler
_Artist:Kenny Rogers

Tuishi humo wakamaria wenzangu, na Kanji Hana lifespan kubwa. Amini kwamba.
"And somewhere in the darkness, the gambler he broke even"
 
Back
Top Bottom