Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Two matches left,inaenda au ni cashout?
Screenshot_20220309-185632_Print%20Spooler.jpg
 
Wakuu naomba kufahamishwa hivi nikitumia wakala wa selcom ku deposit hela kwenye account ya kubetia kuna makato au ni free.
 
hapana mkuu, kama ni 22bet ukiingia kupitia web browser wana live chart wanakusaidia.
Et mkuu, mbona nmeshinda single bet na inasema paid out lkn hakuna hela kwenye account yangu.... ushawahi kutana na hiyo changamoto??
 
Back
Top Bottom