Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wazee naombeni ushauri
wazee naombeni ushauri niongeze pesa niendele mkeka ulipo ishia au nitengeneze mwingine
 
22bet naona wana makorokocho mengi nashindwa hata kuweka bet. Wakuu, mi ngoja niendelee na wasafibet tu. Wako very simple,
 
wewe si ndio ulikuwa unasema kampuni za betting zinapataje faida ...huo ni mwanzo tu wa kujua zinapataje hiyo faida
Wala bado sijapata hasara. Natumia ile 90,000 niliyowapiga Wasafi over the weekend. Na mimi stake zangu ni elfu 2 kushuka chini, halafu odds 90 huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…