Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Somo gani sasa. Mimi sitoi stake zaidi ya 2000. Somo kwa hao wanaowwka hela nyingi
Nilipo anza kubet niliweka buku 5 betpawa
Mkeka wa kwanza stake buku 2 ikachana timu moja nikakosa elfu 60

Nikacheza mkeka wa pili stake buku 3
Nakumbuka niliwapa vigogo wote wini, Madrid, man U, Arsenal, Chelsea, Barca nk
Nikapiga laki na 70, nikajisemea kimoyo moyo napisha na gari la mshahara siku zote hizi wakati kuna mahela ya bure bure huku kwenye bet, THE REST IS HISTORY

Vipigo ninavyopata najuta kwanini nilijiingiza kwenye huu UJINGA na kutoka siwezi
Kila siku najifariji ntarudisha hela zangu lakini ndio kwanzaaa kanji anapiga bila huruma

Muda ni mwalimu mzuri sana madame
Karibu sana kwenye ulimwengu wa stress za kujitakia
 
Kanji kampa 90000 kwnz ili afrahi akianza kumpiga asilalamike
 
Sasa hayo ni matatizo yako, mimi hayanihusu. Mimi nacheza kwa akili, wewe unajichezea tu. Hiyo ndiyo tofauti.
Unaliwaje kizembe hivyo. Unashindwa hata kuweka double chance. Kwanza ni vile nimechelewa kujua màana ya double chance. Betting ni fursa nzuri sana ya kuvuna mihela
 
[emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] madam ur not serious muhindi usimchukulie poa ivo sikiliza wadau wanakupa precautions zingatia sn
Mkuu mbona unakuwa kama sio great thinker?

Huyu JL usimzingatie sana anafanya mission zake tu hapa, sisi wazee wa kazi tushamsoma

Huyu ni ambassador wa wasafi bet hivo hapa anatangaza kampuni yao, huyu yupo kazini
 
Mkuu mbona unakuwa kama sio great thinker?

Huyu JL usimzingatie sana anafanya mission zake tu hapa, sisi wazee wa kazi tushamsoma

Huyu ni ambassador wa wasafi bet hivo hapa anatangaza kampuni yao, huyu yupo kazini
Aaaaaaa baba umeneeeena. Nilikuwa sijamng'amua.

Ni kweli huyu ni ambassador wa wasafi bet dizaini anacheza na akili za watu.Ndo maana hata akiuliza swali akasaidiwa majibu bado analeta ukichwa maji. Huyu ni wa kumpuuza kuanzia sasa. Huyu JL ni mbupu kabisa 🤣🤣🤣🤣
 
Si unajua kampuni yao ni mpya hivo wanapigania kuitangaza
 
When you have a choice chose the best
When you dont have the choice do the best

Betpawa
Mbet
Sportpesa
Hizi kampuni you real need to do the best kwasababu wanakubana sana machaguo
Hayo makampuni unakuta game ambayo bookie wengine wameanza na over 0.5, lakini unakuta sportpesa wameanza na over 1.75.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…