Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna muda mtu akitoa ushauri anaonekana kama anajikweza kumbe sio kabisa. Mkuu umekosa hata 500 au 200 ya kuanzia kama mtaji?

Kama jibu ni ndio, nakushauri kama mwanaume mwenzako achana betting itazidi kukudidimiza kiuchumi. Wengine hawatakwambia humu ila mimi nimejitolea kukwambia hata kama utaniona mbaya.

JIBU
Kampuni unazoweza kupata mtaji jaribu Betway na 22bet , huko utapata bonus ambazo itakubidi ubeti ili kuzigeuza kuwa hela halisi.
Thawa braza
 
Mkuu mbona unakuwa kama sio great thinker?

Huyu JL usimzingatie sana anafanya mission zake tu hapa, sisi wazee wa kazi tushamsoma

Huyu ni ambassador wa wasafi bet hivo hapa anatangaza kampuni yao, huyu yupo kazini
nimeliona hilo pia mkuu kampuni iyo bado changa sana aendelee kukomaa tu
 
P8CSX
Screenshot_2022-03-11-18-17-34-497_org.xbet.client1.jpg
 
Wakamaria nipeni ufafanuzi nini maana ya kubet under 2.5 ni kwamba magoli yasizidi mawili au matatu? Kwenye kutoa ufafanuzi Refer attachment ya picha hapo mechi imeisha hivyo

Nilibet under 2.5
20220311_205945.jpg
 
Back
Top Bottom