Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Thawa braza
 
Mkuu mbona unakuwa kama sio great thinker?

Huyu JL usimzingatie sana anafanya mission zake tu hapa, sisi wazee wa kazi tushamsoma

Huyu ni ambassador wa wasafi bet hivo hapa anatangaza kampuni yao, huyu yupo kazini
nimeliona hilo pia mkuu kampuni iyo bado changa sana aendelee kukomaa tu
 
Wakamaria nipeni ufafanuzi nini maana ya kubet under 2.5 ni kwamba magoli yasizidi mawili au matatu? Kwenye kutoa ufafanuzi Refer attachment ya picha hapo mechi imeisha hivyo

Nilibet under 2.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…