Under 2.5Wakamaria nipeni ufafanuzi nini maana ya kubet under 2.5 ni kwamba magoli yasizidi mawili au matatu? Kwenye kutoa ufafanuzi Refer attachment ya picha hapoq mechi imeisha hivyo
Nilibet under 2.5 View attachment 2147254
Asante kwa ufafanuzi maana shida ilikua hapo kupaelewa, labda swali lingine, kama wanataka magoli yasizidi mawili kwa option ya under 2.5, kwa nini wanaweka under 2.5 na wasiweke under 2.00? Hiyo .5 inamaanisha nini?Under 2.5
Magoli yasizidi 2
Hapo umeshaliwa
Unaposema chini ya 2 ina maana isifike mbili yaani 0 -1.9Asante kwa ufafanuzi maana shida ilikua hapo kupaelewa, labda swali lingine, kama wanataka magoli yasizidi mawili kwa option ya under 2.5, kwa nini wanaweka under 2.5 na wasiweke under 2.00? Hiyo .5 inamaanisha nini?
Poapoa imeisha hiyo ushanifafanulia sasa niingie kwenye fieldUnaposema chini ya 2 ina maana isifike mbili yaani 0 -1.9
Ila ukisema chini ya 2.5 ina maana 0 - 2 mkuu
Wanaweka 2.5 ili kuonesha tu kuwa 2.5 ni kubwa kuliko 2
2.5 ni famous ila
Wanauwezo wa kuweka hata 2.3
Kila la heri bet responsiblyPoapoa imeisha hiyo ushanifafanulia sasa niingie kwenye field
Hahahah haina kufeli sio?Kesho siku mbaya ila tutabet hivyo hivyo sii unajua watoto wa kanji wanahitaji ada .
Hatari sana
Kesho naweka mbupu mojaHahahah haina kufeli sio?
Hahahah kesho ndo ile siku tunapoteza mbupu zote mbiliKesho naweka mbupu moja
Kanji anakaba hadi kivuliHahahah kesho ndo ile siku tunapoteza mbupu zote mbili
Mie nimeweka mkeka mida hii
Nimeweka mchepuko
Huu mchezo ukitaka kujua ni washenzi unaweza kushangaa ukachagua hizo mbili na ukakosa zoteZile mechi 2000+ za kesho nitakosa team zangu mbili kweli? Aaaah huu utani sasa[emoji1].
Hizi tips kaka unazitoaga wapi maana ukichambua zinatiki mara Moja moja
Kesho time kama hii tutakuwa na jibu la kama umepata team zako mbili ama umekosaZile mechi 2000+ za kesho nitakosa team zangu mbili kweli? Aaaah huu utani sasa😄.
Hizi tips kaka unazitoaga wapi maana ukichambua zinatiki mara Moja moja
Ahahahaha, bila shaka sitakuwa mtukanaji humu ikifika mida hii😂Kesho time kama hii tutakuwa na jibu la kama umepata team zako mbili ama umekosa