Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tuliotoa jumapili karibu wote hatujapata hela. Nimewasiliana na MLIPA hadi kwa namba zao binafsi lakini wapi. kibaya zaidi 22bet wenyewe hawapokei simu.
angalau kdg nilidhani nipo pekee yangu, basi inabidi subira tu.
 
Sportbet
Screenshot_20220312-104323_1647071107358.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MSAADA WA KIMAWAZO:- 22bet, tangu jumapili tarehe 6 hadi leo pesa yangu nilitoa hawajanitumia na barua pepe nilituma leo siku ya 5 hata mrejesho sijapata. Kwa wazoefu ikitokea hali ya namna hii nifanye kipi?

Umefungulia mtandao gani hio account yako?
 
Asante mungu nimefanikiwa kuacha kubeti ningekua nimechakaa sana..poleni wakamaria najua mnapitia misukosuko na vipigo vya hapa na pale katika kazii yenu ya kudownload pesa mtandaoni ila angalien msije mkafa na presha.
Unfollow huu uzi kabisa, tupishe.
 
MSAADA WA KIMAWAZO:- 22bet, tangu jumapili tarehe 6 hadi leo pesa yangu nilitoa hawajanitumia na barua pepe nilituma leo siku ya 5 hata mrejesho sijapata. Kwa wazoefu ikitokea hali ya namna hii nifanye kipi?
Hawa washenzi walinitapeli 40k yangu nilitoa niliwithdraw, hela haikufika kwenye simu nikaanza kuwasiliana nao wakaniambia subil baada ya saa 24 muda ukapita nikaangaika nao wiki nzima baadae nikaamua kuwaachia na kufuta app yenyew
 
Back
Top Bottom