Watu wapo serious aiseeh😂Ebu ngoja kwanza mkuu
Hapo open bets manake una mikeka pending 1,025?yaaani umebet mikeka 1000+?
Kinyama!Watu wapo serious aiseeh😂
Muhindi ata mshangaza mbona atoamini.Kinyama!
Mikeka buku!!![emoji2296][emoji2296]
Ebu ngoja kwanza mkuu
Hapo open bets manake una mikeka pending 1,025?yaaani umebet mikeka 1000+?
Naombeni code za 22bet.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa Mkuu, Lazima.View attachment 2147856
Betpawa au sportbet?
huyo ni betpawaBetpawa au sportbet?
Nimecheka mpaka majiran wameshtuka******** kubet kaz jaman kila sehem vilio tukukimbilie wap tukiweka direct win munapitanayo double chance chafu magoli ndio usiseme man city anaendanayo 0-0. Haukua na mguu mpaka ufunge na kichwa au ulitaka tu kuchana mkeka wangu kwakua mi nimeweka lisifungwe goli la kichwa KANJI MUNGU ANAKUONA KITAUMANA TU ATA PACHELEWE.View attachment 2147964
Wenzangu mnaobet 22bet mnatoajw hela mimi nina wiki ya pili nimetoa pesa na haijanifikia wananiambia UVUMILIVU tu
Wamenichania mkekaOna hawa mashogeli
[emoji51][emoji51][emoji51]View attachment 2148064
Tuvae parachute bombardier inaanguka baada ya dakika 1
[emoji38][emoji38] Hiyo ndio weekend bwanaTuvae parachute bombardier inaanguka baada ya dakika 1