Ndio, mikeka buku.Ebu ngoja kwanza mkuu
Hapo open bets manake una mikeka pending 1,025?yaaani umebet mikeka 1000+?
Kwa Sasa fulham kapelekea imebaki mikeka 386.
[emoji38]
Ndio, mikeka buku.Ebu ngoja kwanza mkuu
Hapo open bets manake una mikeka pending 1,025?yaaani umebet mikeka 1000+?
Daaaah hatari aisee, jana nilifuta app zote za kubetia ghafla tena leo naingizwa majaribuni na code ya bidada, nikasema ngoja nijaribu na leo kwa hii code. Aisee Full mkong'oto
nani kachanaDaaaah hatari aisee, jana nilifuta app zote za kubetia ghafla tena leo naingizwa majaribuni na code ya bidada, nikasema ngoja nijaribu na leo kwa hii code. Aisee Full mkong'oto
Over 1.5
Usijali...mikeka leo inatakiwa ifike mitanoTuvae parachute bombardier inaanguka baada ya dakika 1
True that!Kampuni zinazotumia njia ya kulipa na kupokea fedha kwa kushirikiana na selcom ndio hazisumbui inapokuja swala la muamala
Fulham alikuwa ameshikilia mikeka yako 600+ 🤣🤣Ndio, mikeka buku.
Kwa Sasa fulham kapelekea imebaki mikeka 386.
[emoji38]
hawajibu email hawaAmbao hatujalipwa pesa zetu toka jumamosi iliyopita, uvumilivu ukitushinda tuwaambie bodi ya michezo watusaidie kudai
NAMBA
0222214500.
0800110051
Tunabeti katika mazingira magumu, halafu kupata hela iwe ngumu tena.
Kuna kengemaji wengine tukila na kupost humu wanakuja juu hawajui magumu gani tunapitia behind tukituma mikeka ya lost wanalike acheni ukuda. Nahitaji odds5 kuna20k yamwisho nataka nifunge weekend leo.
Kuna mtu aliniandikia email kwa kingereza kilichonyoka maana mimi nimesoma shule hiza kata kingereza changu utata mtupu.hawajibu email hawa
email yao ya general wanajibu wanasema wanafuatilia lkn ipo ya kiswahili pia hii ndio hawajibu kabisaKuna mtu aliniandikia email kwa kingereza kilichonyoka maana mimi nimesoma shule hiza kata kingereza changu utata mtupu.
Wamejibu wamesema wamelipokea swala langu na wanashughulikia. Majibu yaleyale ya kiroboti.
Hawa waswahili wapuuzi tu, hata simu hawapokei na muda mwingine hawapatikani.email yao ya general wanajibu wanasema wanafuatilia lkn ipo ya kiswahili pia hii ndio hawajibu kabisa
ambayo ni [email protected]
Mbwa huyu bora angefungwa tu kakimbia na keka langu la tokea jnne mshenzi kabisa na wasichukue kombe lolote mashetani hawaBayern naona kabisa anatembea na kapu la pesa za vikoba.