Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

20220213_192532.jpg
 
Wadau tuliopigwa na kitu kizito hela tulizowithdraw 22bet wiki jana, wenzangu mnasamehe?
° Kwenye akaunti ya 22bet hela imetoka
° kwenye simu haijaingia
° MLIPA wanasema hawaioni wanasema tusubiri
° 22bet hawapokei simu

Je, hela imeenda wapi?
 
Mkuu,kila mtu kala kichapo leo...mikeka yangu 1025 imechanika.....hapa nasubiria tuu mida ifike nione nyuchi ya Yule dada mgeni, aliyeahidi kumwaga lazi leo..... at least nita-refresh mind.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom