Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau tuliopigwa na kitu kizito hela tulizowithdraw 22bet wiki jana, wenzangu mnasamehe?
° Kwenye akaunti ya 22bet hela imetoka
° kwenye simu haijaingia
° MLIPA wanasema hawaioni wanasema tusubiri
° 22bet hawapokei simu

Je, hela imeenda wapi?
Kuna haja ya kuwasiliana na bodi ya michezo ya bahati nasibu.
 
Uchawi upo mkuu, nasikia kuna majini yanatawala hii michezo
Rakims
Ukijua utawala wa nyota zako sayari zako na milango yako kama nilivyofundisha hivi vitu havisumbui hii ni leo saa 4 kuna mtu alitaka uthibitisho baada ya kumwambia anilipe laki 1 nimfanyie calculation baada ya kumthibitishia nikamcharge laki 2.
Screenshot_20220312-225049.jpg
 
Betting shops Wana lugha zinachanganya Sana.
Kuna wakati wanasema.
HOME/Away team to win to Nil -ukachagua NO ,

kwa lugha nyepesi si wangesema GG.

nafkiri maana zpo tofaut ap ;GG matokeo yanaez ykawa 1-1 na uka win bet lkn kwa option iy y "HOME/Away team to win to nil - ukachagua NO" ,matokeo yakiw 1-1 ;mkeka unakuw umechanika!
 
Ukijua utawala wa nyota zako sayari zako na milango yako kama nilivyofundisha hivi vitu havisumbui hii ni leo saa 4 kuna mtu alitaka uthibitisho baada ya kumwambia anilipe laki 1 nimfanyie calculation baada ya kumthibitishia nikamcharge laki 2. View attachment 2148379
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Back
Top Bottom