Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante mungu nimefanikiwa kuacha kubeti ningekua nimechakaa sana..poleni wakamaria najua mnapitia misukosuko na vipigo vya hapa na pale katika kazii yenu ya kudownload pesa mtandaoni ila angalien msije mkafa na presha.
Kagogwe huko
 
Aisee
Kwamba wanaoliwa hela zao humu ni WAZEMBE wakati kuna double chance[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu haya ndio madhara ya kujifanya mtoto wa kike
Ehhhhhhh!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Utajua hujui, chezea betting wewe[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
MSAADA WA KIMAWAZO:- 22bet, tangu jumapili tarehe 6 hadi leo pesa yangu nilitoa hawajanitumia na barua pepe nilituma leo siku ya 5 hata mrejesho sijapata. Kwa wazoefu ikitokea hali ya namna hii nifanye kipi?
 
mkuu ni hela au ni ile bonus wanayotoaga nijue kwanza ilo.
 
MSAADA WA KIMAWAZO:- 22bet, tangu jumapili tarehe 6 hadi leo pesa yangu nilitoa hawajanitumia na barua pepe nilituma leo siku ya 5 hata mrejesho sijapata. Kwa wazoefu ikitokea hali ya namna hii nifanye kipi?
Kila siku mnailalamikia hio 22bet si mhame?kwani mmefungwa kamba?
 
MSAADA WA KIMAWAZO:- 22bet, tangu jumapili tarehe 6 hadi leo pesa yangu nilitoa hawajanitumia na barua pepe nilituma leo siku ya 5 hata mrejesho sijapata. Kwa wazoefu ikitokea hali ya namna hii nifanye kipi?
Tuliotoa jumapili karibu wote hatujapata hela. Nimewasiliana na MLIPA hadi kwa namba zao binafsi lakini wapi. kibaya zaidi 22bet wenyewe hawapokei simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…