hakuna kampuni lililokamilika.Kila siku mnailalamikia hio 22bet si mhame?kwani mmefungwa kamba?
angalau kdg nilidhani nipo pekee yangu, basi inabidi subira tu.Tuliotoa jumapili karibu wote hatujapata hela. Nimewasiliana na MLIPA hadi kwa namba zao binafsi lakini wapi. kibaya zaidi 22bet wenyewe hawapokei simu.
MSAADA WA KIMAWAZO:- 22bet, tangu jumapili tarehe 6 hadi leo pesa yangu nilitoa hawajanitumia na barua pepe nilituma leo siku ya 5 hata mrejesho sijapata. Kwa wazoefu ikitokea hali ya namna hii nifanye kipi?
Naona chupa limeamka na chai😂Odd 5 wins 60%
View attachment 2147622
Unfollow huu uzi kabisa, tupishe.Asante mungu nimefanikiwa kuacha kubeti ningekua nimechakaa sana..poleni wakamaria najua mnapitia misukosuko na vipigo vya hapa na pale katika kazii yenu ya kudownload pesa mtandaoni ila angalien msije mkafa na presha.
Hawa washenzi walinitapeli 40k yangu nilitoa niliwithdraw, hela haikufika kwenye simu nikaanza kuwasiliana nao wakaniambia subil baada ya saa 24 muda ukapita nikaangaika nao wiki nzima baadae nikaamua kuwaachia na kufuta app yenyewMSAADA WA KIMAWAZO:- 22bet, tangu jumapili tarehe 6 hadi leo pesa yangu nilitoa hawajanitumia na barua pepe nilituma leo siku ya 5 hata mrejesho sijapata. Kwa wazoefu ikitokea hali ya namna hii nifanye kipi?
Leo hakuna atakayetukanaAhahahaha, bila shaka sitakuwa mtukanaji humu ikifika mida hii😂
Code usisahauLeo hakuna atakayetukana
Leo ngoja nione kama kule BUNDASLIGA II kutawaka moto kama weekend iliyopita.Leo hakuna atakayetukana
Code bosLeo inyeshe mvua liwake jua lazima wawili watatu wanne watano humu tucheke
Tukutane usiku kwenye mahesabu [emoji1696][emoji23]
Code usisahau
Code bos