Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,168
Huu mchezo hautak ubeti unategemea kwenda kupeleka mahali keshoMtu kapigwa 500k mpira unamaajabu sana [emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 2148237
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole ndg yanguItoshe kusema jmosini siku mbaya sana ya kubeti amini msiamini muhindi atatuua
Tuletee na halotelWàzee was gb za Tigo Bado zipo pia bila kusahau free call Tigo kwa miaka miwil
Seriously pm me[emoji1666]
Kuna haja ya kuwasiliana na bodi ya michezo ya bahati nasibu.Wadau tuliopigwa na kitu kizito hela tulizowithdraw 22bet wiki jana, wenzangu mnasamehe?
° Kwenye akaunti ya 22bet hela imetoka
° kwenye simu haijaingia
° MLIPA wanasema hawaioni wanasema tusubiri
° 22bet hawapokei simu
Je, hela imeenda wapi?
Ukijua utawala wa nyota zako sayari zako na milango yako kama nilivyofundisha hivi vitu havisumbui hii ni leo saa 4 kuna mtu alitaka uthibitisho baada ya kumwambia anilipe laki 1 nimfanyie calculation baada ya kumthibitishia nikamcharge laki 2.Uchawi upo mkuu, nasikia kuna majini yanatawala hii michezo
Rakims
Huyu boss bado yupo?Ukijua utawala wa nyota zako sayari zako na milango yako kama nilivyofundisha hivi vitu havisumbui hii ni leo saa 4 kuna mtu alitaka uthibitisho baada ya kumwambia anilipe laki 1 nimfanyie calculation baada ya kumthibitishia nikamcharge laki 2. View attachment 2148379
Kabisa mkuu, Kama hiii[emoji116][emoji116][emoji116]Uchawi upo mkuu, nasikia kuna majini yanatawala hii michezo
Rakims
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila Wakuu betting ni uchawi leo option ya "first goal to be own goal -No " odds 1.03 imenichania View attachment 2148412
Hii michezo amini nawaambieni tunashindana na nguvu za giza ilihali hatuna uwezo wa kuzishindaKabisa mkuu, Kama hiii[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2148459
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho tuwahi kanisani tukaombe, hakuna lisiloshindikana View attachment 2148323
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia hilo mkuuUkijua utawala wa nyota zako sayari zako na milango yako kama nilivyofundisha hivi vitu havisumbui hii ni leo saa 4 kuna mtu alitaka uthibitisho baada ya kumwambia anilipe laki 1 nimfanyie calculation baada ya kumthibitishia nikamcharge laki 2. View attachment 2148379
I mean unaweza rudia hilo somo?Rudia hilo mkuu
Betting shops Wana lugha zinachanganya Sana.
Kuna wakati wanasema.
HOME/Away team to win to Nil -ukachagua NO ,
kwa lugha nyepesi si wangesema GG.
Upo wrong mwanawane,. 1-1 kwa option ya win to nil unakuwa umewinnafkiri maana zpo tofaut ap ;GG matokeo yanaez ykawa 1-1 na uka win bet lkn kwa option iy y "HOME/Away team to win to nil - ukachagua NO" ,matokeo yakiw 1-1 ;mkeka unakuw umechanika!
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Ukijua utawala wa nyota zako sayari zako na milango yako kama nilivyofundisha hivi vitu havisumbui hii ni leo saa 4 kuna mtu alitaka uthibitisho baada ya kumwambia anilipe laki 1 nimfanyie calculation baada ya kumthibitishia nikamcharge laki 2. View attachment 2148379