Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Uchawi upo[emoji16], ama is unlucky season, ama wahindi wanafanya yao sana.

Yani unasema wacha niplay low key kwa kuweka odds kidogo kwa sure option kabisa, unafabya research almost 1 hour ukitafuta team 5 tu ambazo ni normal kutoa 4goals even more , then unawekea over 1.5 option only, hahah[emoji23] na kwa mala ya kwanza eti unakuta kuna team inatoa 1 goal only na since 2019 hawajawahi kua ander 3.5..... Si uchawi huu, even over 1.5 ya match yenye hutoa more than 3 goals eti leo imetoa under 1.5 na pesa yangu kubwa ikaenda hivo tu[emoji23][emoji23][emoji23] Dah

Tupatane kesho tena, nawait for last shot nimeweka yaanza 22:00, pray for me haha

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana Mkuu.

Adui Yetu Mmoja Kesho Nayo Siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom