Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nmechaniwa mikeka na option ambazo zinaonekana 99% possible win.
Juz ilikua Juve "First goal to be own goal-No"
"No yellow card in first 5 mins"
"No goal in first 5 Mins"
Hizo ndo nlishangaa Sana
Me pia niliwahi kupewa somo la odds isiyozidi 1.2 nikawaza ivi nikiweka laki moja kila siku si nitakuwa nalala na hela nzuri. Nikaapa moyoni ntajitahidi kuwa na nidhamu kwa hili nikaweka elfu hamsini ikazaa kama laki mbili hivi

nikasema ngoja niweke laki mbili aise ilichukuliwa yote tena na odds ya 1.08( siku Algeria wanacheza na Siera leon ) niliweka over 0.5

Nikasema kimebaki na hamsini ngoja nikatafute hamsini nyingine iwe laki sasa niwe na nidhamu

Nikaweka first half chini ya goli mbili
Nikaweka timu mbili tuu

Kuna wehu wakafungana nne ndani ya dk 31..! Nikasema kimoyo moyo ivi kumbe walioanzisha haya mavitu hawajawahi kulogeka kirahisi

Kwisha habari iyo siku kanji aliniboa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kubeti raha sana mkuu, yaani unapigwa na kesho unarudia tena, utapigwa na kesho utarudia tena
 
Tulipofkia mbinu zimeisha imebak option ya odd or even. Hapo ni wewe na Mungu au mizimu yenu. Hakuna cha analysis.
Nimejua kumbe wanafunz wanabet karo! Wazaz wana wakat mgum sana!
Hiyo option sitakuja niijaribu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kubeti raha sana mkuu, yaani unapigwa na kesho unarudia tena, utapigwa na kesho utarudia tena
Utaratibu anaotumia bigboi. Ni mzuri sana,natamani angelikuwa anaweka games zote kwenye WON slip hata LOST slip tungejifunza mengi.
Nasema ni mzuri kwa sababu jamaa anaingiza kingi na kupoteza kidogo,lets say leo kacheza SLIPS 2 zenye 10 odds @1. Mmoja WON na Mmoja LOST na SLIPS zote stakes zinafanana.
 
Aisee huyo jamaa anabahati yake, options hizohizo wengine ni vichapo havitamaniki ni heri angekuwa anashare code labda na sisi tungeambulia kidogo
 
Option ambayo mpak sasa naziona zinaangalau ya asilimia kubwa ya kushinda ni No goal from 0-5 minutes na hii option ya 1-6 multigoals, pia no red card first half. Zina odds ndogo ila ukiunganisha timu nne au tano huwezi kukosa 1.5 -2 odds.Tatizo wengi wanaweka mbupu ndogo za jero jero. Tungekuwa tunajitoa sadaka kama Tipmaster hela ingekuwa ya uhakika...weka 200k-500k hapa unasaka 1.4 odds tu unamla kanji kimya kimya
Kuna option ya kuitwa first to happen in 5 minutes
Kona
Goli
Card
Penalty
None of the above

Mimi hupenda kuchagua None yaani hakuna tukio lolote hapo juu litatokea ndani ya dk 5 odd 1.6 hadi 1.8
Huwezi amini Goli ndio linaongoza kuniangusha kwenye hili chaguo
Ikifuatiwa kwa mbaali na kona
Nikitia mzigo dk ya 3 Mbape katupia halafu goli linabaki hilo hilo hadi dk 90😂
 
Honestly Mimi option ninazo tembelea Ni 3.5 under na 1.5 over mwisho kabisa double chance ya 1or 2. .. direct win hua naweka kwa team kubwa ikicheza na team ndogo Sana na apo iyo team kubwa isiwe ugenini iwe nyumbani ..kwaiyo naangalia possiblity ya game husika then naweka option nitakayoona Inafaa kati ya izo .. hii Mambo ya penalty mara substitutions ..sijui red card , corners hua zinanichosha akili kabisa .. siwezagi kabisa
 
Ni hatar Mkuu, kwenye bet consistency ni ngumu Sana regardless unatumia option gan na strategy gan kwahyo ukisema urisk big stakes kwa options zenye risk ndogo na odds ndogo utafanikiwa lkn in short time, in long-run ukipigwa mara mbili tu ushatoka nje ya reli tayari
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani ndo ubaya wa big stake ukipigwa mbili tu tayari kanji anakuwa amekumaliza kabisa
 
Binafsi me naona option iliyobaki nzuri ni hand cap kuna hand cap mbali mbali mfano corners, goli, dribbling na shoots ikoga poa sana imenipa nipa mpunga...!

Hasa ASIAN HANDCAP
Ndo inakuaje??
 
Mchawi mwingine wa wakamalia ni kubet KILA SIKU

Kwanza itakusababishia addiction mbaya sana ya kamari, Bet ina urahibu mbaya sana
Pili, kimsingi ukiingia ulingoni na Bookies round 12 lazima atatoka na ushindi wa round zote na ukibahatisha maybe 10/2, ukibet mara chache unapunguza vipigo na unaokoa visenti vyako

Na kwa muktadha huo huo wa vipigo mfululizo inafika mahali unakosa kabisa kujiamini na unaamini Bookies hawawezekani sababu ya vipigo unavyopitia kila siku..... hapo sasa unapoteza umakini wa kuchambua, unajibetia tu huku ukijisemea odd ya 1.05 inachana acha tu ni chague liwalo na liwe
Yaani kila option unaiona yamoto ilikuchania jana au juzi au majuzi yake

Kwa usalama wa hela zetu tujitahidi kuweka ratiba ya kubet kupunguza angalau kiaina kudeposit kila mara ilimradi tu ubet
 
Mchawi mwingine wa wakamalia ni kubet KILA SIKU

Kwanza itakusababishia addiction mbaya sana ya kamari, Bet ina urahibu mbaya sana
Pili, kimsingi ukiingia ulingoni na Bookies round 12 lazima atatoka na ushindi wa round zote na ukibahatisha maybe 10/2, ukibet mara chache unapunguza vipigo na unaokoa visenti vyako

Na kwa muktadha huo huo wa vipigo mfululizo inafika mahali unakosa kabisa kujiamini na unaamini Bookies hawawezekani sababu ya vipigo unavyopitia kila siku..... hapo sasa unapoteza umakini wa kuchambua, unajibetia tu huku ukijisemea odd ya 1.05 inachana acha tu ni chague liwalo na liwe

Kwa usalama wa hela zetu tujitahidi kuweka ratiba ya kubet
Hivi mkuu mwanzilishi wa huu uzi alienda wapi?
 
Ndo inakuaje??
Chagua timu yoyote kati ya hizo mbili

Ipe yenye uwezo mdogo faida ya corner, magoli,kicks, card, faulo n.k

Handcap ni faida au hasara ya option fulani

Mfano timu iingie na hasara au faida let say magoli

yaani timu moja unaamua ishinde/ishindwe kwa kuipa magoli /corner or other option kiasi fulani.

Mfano man city vs fulham

Mimi nampa fulham faida ya magoli 5.5 ( matano na nusu) inamaanisha hata matokeo yaweje ila Fulham akipewa goli 5.5 atashinda tu. ila unatakiwa uwe mjanja mjanja, binafsi mimi huwa napenda kutoa handcap ya faida kwa timu ndogo
 
Back
Top Bottom