Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba mtu anieleweshe hii option...
Screenshot_2022-03-14-21-42-12-650_com.android.chrome.jpg
 
Dah! ukimpiga muhindi mikeka minne mfululizo unajiona ushatangaza vita na mhindi.
Atakachokufanya kwenye mkeka wa 5 ambao umejilipua stake yote, hutaamini macho yako.
Punters wengi wanafeli ktk bank roll management, yaani mtu anataka apate pesa nyingi kwa kuweka pesa yote hapa ndipo muhindi anapopita na account mazima.

Staking plan ni muhimu sana kama una elfu kumi beti 500/1000 kwa mkeka mmoja usizidishe zaidi ya hapo. Unakuta mtu ana laki halafu anaweka laki yote hapa utamuona kanji mchawi tu.

Ila betting huwa kama ina mapepo ya kushinikiza mtu ajilipue ili aliwe halafu ajute. Unakuta mtu anasema ntabeti kwa discipline au kwa stake flani then ghafla anajikuta kaweka mbupu zote tena kwenye treni la mabehewa 20 akiamini atafika nalo salama kigoma apate 20M. Matokeo yake hata kibaha halifiki.
 
Mwenye kuelewa hii option... View attachment 2150832
Ashinde wa ugenini au itokee timu yoyote kati ya hizo isifungwe goli hata moja

Ukiweka no = umepinga
Yes = umekubaliana

Au kwa lugha nyepesi ukiweka no basi iwe ni kinyume cha maelezo

Hapo juu mkeka umechanika kwa sababu ulichagua NO

Lakini matokeo hapo yanaonesha YES ( maana aliyeshinda ni wa ugenini )

kwa hiyo pesa yako imeshaliwa tayari
 
Sawa, na hii je game ya AIK
Screenshot_2022-03-15-01-02-16-079_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom