Mi kwa uelewa wangu hapo ni kwamba ashinde wa ugenini au kusiwe na cleansheet kwa tim yoyote ile... Sasa wa ugenini kashinda, ila clean sheet haijakuwepo, sio kwamba nastahili kushinda... Maana ni options mbili kwenye game mojaAshinde wa ugenini au itokee timu yoyote kati ya hizo isifungwe goli hata moja
Ukiweka no = umepinga
Yes = umekubaliana
Au kwa lugha nyepesi ukiweka no basi iwe ni kinyume cha maelezo
Hapo juu mkeka umechanika kwa sababu ulichagua NO
Lakini matokeo hapo yanaonesha YES ( maana aliyeshinda ni wa ugenini )
kwa hiyo pesa yako imeshaliwa tayari