ningekuwa na smartphone ningescreenshot mkeka wenye odds 18 niliokula jana.Unyesha huo wa kwako uliokwepa direct win mkeka ukawini siyo unaleta poroja hapa
[emoji23][emoji23][emoji23] acha porojo mzee wa Nokia ya tochiningekuwa na smartphone ningescreenshot mkeka wenye odds 18 niliokula jana.
Duhh janga tayari wazee heri atabangi nikizipata mimi na bet sitaki msichana sitaki pombe nikiishiwa simu inakaa kwa begMchawi mwingine wa wakamalia ni kubet KILA SIKU
Kwanza itakusababishia addiction mbaya sana ya kamari, Bet ina urahibu mbaya sana
Pili, kimsingi ukiingia ulingoni na Bookies round 12 lazima atatoka na ushindi wa round zote na ukibahatisha maybe 10/2, ukibet mara chache unapunguza vipigo na unaokoa visenti vyako
Na kwa muktadha huo huo wa vipigo mfululizo inafika mahali unakosa kabisa kujiamini na unaamini Bookies hawawezekani sababu ya vipigo unavyopitia kila siku..... hapo sasa unapoteza umakini wa kuchambua, unajibetia tu huku ukijisemea odd ya 1.05 inachana acha tu ni chague liwalo na liwe
Yaani kila option unaiona yamoto ilikuchania jana au juzi au majuzi yake
Kwa usalama wa hela zetu tujitahidi kuweka ratiba ya kubet kupunguza angalau kiaina kudeposit kila mara ilimradi tu ubet
Bro na ss tunaobet single bet je hikitu ni bahati tu ukipata wee shukruPunters wengi wanafeli ktk bank roll management, yaani mtu anataka apate pesa nyingi kwa kuweka pesa yote hapa ndipo muhindi anapopita na account mazima.
Staking plan ni muhimu sana kama una elfu kumi beti 500/1000 kwa mkeka mmoja usizidishe zaidi ya hapo. Unakuta mtu ana laki halafu anaweka laki yote hapa utamuona kanji mchawi tu.
Ila betting huwa kama ina mapepo ya kushinikiza mtu ajilipue ili aliwe halafu ajute. Unakuta mtu anasema ntabeti kwa discipline au kwa stake flani then ghafla anajikuta kaweka mbupu zote tena kwenye treni la mabehewa 20 akiamini atafika nalo salama kigoma apate 20M. Matokeo yake hata kibaha halifiki.
Nayo ni shida tuKWENYE BETTING HAKUNA OPTION RAHISI. ILA KWA WALE WANACHEZA SINGLE BET KIDOGO UNAWEZA KUPATA CHOCHOTE
Cheza under 3.5/4.5 ...atletico huwa hawaruhusu bao nyingiNahisi hii Game ya Leo ya UEFA CHAMPION LEAGUE itaisha kwa sare.
FT: Manchester United 0 - 0 Atletico Madrid
Weka under 2.5 utanishukuruNahisi hii Game ya Leo ya UEFA CHAMPION LEAGUE itaisha kwa sare.
FT: Manchester United 0 - 0 Atletico Madrid
hapana mkuuKwanini umeweka msisitizo "tofauti na Etoo?" Kuna shida mkuu??
Unikumbuke kaka hata ya karanga tu[emoji28][emoji28]Huu mpunga utaliwa muda si mrefu. Hivi ule wa Betpawa umeshindikana?
Tusubiri maajabu ya Kanji.Weka under 2.5 utanishukuru