Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1647411131380.png


05CEE196-3367-4928-933D-D8ED86C60502.png


3D994DB2-4386-4CA2-8E70-E4226B2ABD04.png


085E8F36-C975-45CF-844E-17190CAFC8AD.png


BCB8D203-D28A-4AA3-A9F4-C4789B9DD76F.png


0456C7CD-FD00-49F1-A7E3-B07B42B03195.png


21A845D3-3D6E-42FF-92B1-D6A9E5C901BF.png
 
WATATU WASHINDA MAMILIONI BET BONANZA

Jumanne Machi 15 Jumla ya washindi wawili kutoka Vodacom na Airtel leo asubuhi wameibuka washindi wa vitita vya shilingi milioni 1 kila mmoja katika droo ya kwanza ya wiki ya Bet Bonanza ya Sportpesa

Droo hii ni sehemu ya promosheni ya Bet Bonanza ya Sportpesa, na pia ni muendelezo wa zawadi ambazo zinatolewa katika kipindi hiki ambapo kuna ligi mbali zinazochezwa kwa ushirikiano na kampuni za simu Vodacom, Airtel na Halotel.

Akizungumza baada ya droo iliyochezeshwa makao makuu ya Sportpesa Oysterbay, Jijini Dar-Es-Salaam,Meneja Uhusiano wa Sportpesa Sabrina Msuya alianza kuwapongeza washindi hawa kwa kuibuka washindi wa wiki ya kwanza ya promosheni.

“Kwa hakika watanzania hawa wawili wamejishindia vitita hivi vya shilingi milioni 1 na hivyo kuwataka wateja wenzao ambao wanatumia huduma za makampuni haya kuendelea kucheza mara nyingi kadri iwezekanavyo ili na wao washinde zawadi hizi.

Washindi haw ani Seif Ramdshani kutoka Shinyanga na Nyange kutoka Tabata.

‘’Nawasisitiza watanzania hasa hasa wateja wa Vodacom, Airtel na Halotel kuchukua fursa hii ya promosheni hii ya Bet Bonanza kwani kuna zawadi ya shilingi elfu 20 kila siku, zawadi ya shilingi milioni moja kwa washindi watatu kama hii kila wiki na zawadi kubwa kabisa ya milioni 15,888,000 siku ya kufunga promosheni’’. Alisem Sabrina.

Ikumbukwe promosheni hii ilizinduliwa rasmi siku ya tarehe 8 Machi ya wiki iliyopita inajumuisha zawadi za shilingi elfu 20 kila siku, zawadi za milioni moja moja kwa washindi watatu kila wiki, na zawadi ya milioni 15,888,000 siku ya kufunga kampeni.

Ili kujisajili na kucheza na Sportpesa Piga *150*87# au tembelea www.sportesa.co.tz au download APP yetu.

Kwa msaada zaidi piga huduma kwa wateja 0764115588 na 0685115588

Sabrina Msuya
 
Trr

Mkuu kama una utaalamu wa kusuka mabehewa nakushauri ingia sportybet kuna option ya kuchagua hata kama game 4 zitafeli kwenye mkeka bado watakulipa tu ila odds zinapungua..sio kesi kwa odds 1000 zikipungua na kufika hata 40 (kama umezuia game 4 zikifeli) bado utapata pesa nzuri tu
Hata betpawa watanilipa ni muda tuu..nitashare hapa hapa
 
Trr

Mkuu kama una utaalamu wa kusuka mabehewa nakushauri ingia sportybet kuna option ya kuchagua hata kama game 4 zitafeli kwenye mkeka bado watakulipa tu ila odds zinapungua..sio kesi kwa odds 1000 zikipungua na kufika hata 40 (kama umezuia game 4 zikifeli) bado utapata pesa nzuri tu
Hebu kaka hebu toa elimu kidogo juu ya hii kitu, sehemu gani hiyo unaposetia ya kulipwa kwa hizo game ulizoshida endapo ukapoteza game moja au mbili ya Sportybet
 
Back
Top Bottom