Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,534
- 11,445
City kwa crystal palace hua hapumui [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mimi nikiuwa namsubiri city na Lazio washinde nipate kifuta jasho cha kubetia ila dalili kwa Lzio siyo
City kwa crystal palace hua hapumui [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mimi nikiuwa namsubiri city na Lazio washinde nipate kifuta jasho cha kubetia ila dalili kwa Lzio siyo
YapYaani kanjibai kajitengenezea kanuni za kula yeye tu. Sisi kumla yeye ni bahati tu.
Najaribu mbinu ya Steve mollelHa
Hapo unaweka laki moja safi kabisa
Mbona nasikia etoo ndo yupo fastabinafsi namtumia Rajabu +255745848991
thanksbinafsi namtumia Rajabu +255745848991
Yaah nmechanganya kidogo kama clean sheet haipo inamaana ameshinda ni kweli mkuu.Mi kwa uelewa wangu hapo ni kwamba ashinde wa ugenini au kusiwe na cleansheet kwa tim yoyote ile... Sasa wa ugenini kashinda, ila clean sheet haijakuwepo, sio kwamba nastahili kushinda... Maana ni options mbili kwenye game moja
Here We Go.[emoji23]Hapa nakula mapumziko hadi jnne kwenye mechi za ENGLAND.
Hi kampuni watu wanailalamikia sanaMbona kulipia 22bet inagoma??
Kama una kamtaji jilipueTujaribu mbili hizooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2151553
Ila we jamaa bwana😂
Acha kuchezea hela kirahisi hivyoAlafu wanakutana na kina Maguire na lindelof ahahahahahaa leo nampa direct winView attachment 2151520