msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,423
- 3,270
Yaani huu mchezo mgumu sana tulale tu kesh tuanze upya[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]pole mm hata hela ya chai KESHO sijui
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Southampton ni majinga, mapumbavu
[emoji26][emoji26][emoji26]Betting haijawahi kumuacha mtu salama
Ni kweliMechi za Romania huwa zina odds nyingi kidogo za over 2.5 lakini zinatoa sana
Mfano hii nimeweka over 2.5 ilikuwa na odds 2.35....dakika ya 11 tu tayari imeshatoa
View attachment 2149361
Uchawi upo[emoji16], ama is unlucky season, ama wahindi wanafanya yao sana.
Yani unasema wacha niplay low key kwa kuweka odds kidogo kwa sure option kabisa, unafabya research almost 1 hour ukitafuta team 5 tu ambazo ni normal kutoa 4goals even more , then unawekea over 1.5 option only, hahah[emoji23] na kwa mala ya kwanza eti unakuta kuna team inatoa 1 goal only na since 2019 hawajawahi kua ander 3.5..... Si uchawi huu, even over 1.5 ya match yenye hutoa more than 3 goals eti leo imetoa under 1.5 na pesa yangu kubwa ikaenda hivo tu[emoji23][emoji23][emoji23] Dah
Tupatane kesho tena, nawait for last shot nimeweka yaanza 22:00, pray for me haha
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Mwana Simba mwenzangu, kwema??
Sasa ukipiga chenga direct win utavuna wapi?Ogopa sana direct win
Nani kaharibu?Ogopa sana direct win
AiseeeeAisee!
jana mkeka wangu wa dw wa mechi 13, w8 l5.Ogopa sana direct win
Kuna inter Chelsea kidogo azingue ni vyema kutafuta market zenye low risk but zinakuwa na percentage kubwa ya winjana mkeka wangu wa dw wa mechi 13, w8 l5.
Proffesor nae sijui yuko wapi tu.Aiseeee
Mkuu Void ni wewe?
Long time kitambo mzee umepotea sana
Wellcome back
Haya sasa kwa mfano Atalanta ungempa option gani kama wewe?Ogopa sana direct win
Ni Mimi Mkuu, Vipi ndugu yangu?Aiseeee
Mkuu Void ni wewe?
Long time kitambo mzee umepotea sana
Wellcome back
Mkuu nipo poa kabisaNi Mimi Mkuu, Vipi ndugu yangu?
Huyu mwamba naye kapotea kitambo kweliProffesor nae sijui yuko wapi tu.