Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Utakua unaiongelea AL DUHAIL ya Qatar
 
TOKA JANA saa 4 usiku , NIMEPIGA PUCHU. MARA Nane ILI KU STABILIZE MY MENTAL BETTING HEALTH ,HII IMETOKANA TIMU YA SOUTHAMPTON KUNICHANI. MKEKA.............then back in game

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TOKA JANA saa 4 usiku , NIMEPIGA PUCHU. MARA Nane ILI KU STABILIZE MY MENTAL BETTING HEALTH ,HII IMETOKANA TIMU YA SOUTHAMPTON KUNICHANI. MKEKA.............then back in game
Dah kuna huyu torino na arsenal nao walipata magoli ndani ya dk 15 za kwanza
 
Option ambayo mpak sasa naziona zinaangalau ya asilimia kubwa ya kushinda ni No goal from 0-5 minutes na hii option ya 1-6 multigoals, pia no red card first half. Zina odds ndogo ila ukiunganisha timu nne au tano huwezi kukosa 1.5 -2 odds.Tatizo wengi wanaweka mbupu ndogo za jero jero. Tungekuwa tunajitoa sadaka kama Tipmaster hela ingekuwa ya uhakika...weka 200k-500k hapa unasaka 1.4 odds tu unamla kanji kimya kimya
 
Hiyo option inapatikana wapi mkuu
 
Maisha hayajawah kuwa rahisi hivi

watu tulishapita huko siku nyiiiiingi

Endelea kuweka laki tano...!Akili kumkichwa

Huyo tips kuna siku alimwachia muhindi mil 10
 
Maisha hayajawah kuwa rahisi hivi

watu tulishapita huko siku nyiiiiingi

Endelea kuweka laki tano...!Akili kumkichwa

Huyo tips kuna siku alimwachia muhindi mil 1
Nmechaniwa mikeka na option ambazo zinaonekana 99% possible win.
Juz ilikua Juve "First goal to be own goal-No"
"No yellow card in first 5 mins"
"No goal in first 5 Mins"
Hizo ndo nlishangaa Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…