Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Wale wa single bet, weka 500,000/= kwa TP Mazembe, kapewa 1.54 na ni lazima ashinde hiyo game.
Sassuolo ananukia draw.Kichuna hapo sassuolo mtoe. samp amefungwa sana hapa karibuni. anaweza akakuharibia mweke fc basel hapo.
Mkuu mikeka yako naielewa sana aisee,chambua na leo tusafirie nyota yako mkuu
Leo hawezi kukubali kufaWakuu leo barca afi kwel
Atakubaali tuuuu, ahahhhahahhLeo hawezi kukubali kufa
Galatasaray sio wa kuaminika,halafu umemweka kote!!
нυyo jaмaa нapo jυυ veeeeepeee aυ ĸwaĸυwa ĸapιgwa ѕana нιvι ĸarenιna?Barcelona lose
Man u draw
Liverpool win
Madrid 2-6
Bvb 2-6
Juve 2+
akiepuka kipigo basi anatoa draw.нυyo jaмaa нapo jυυ veeeeepeee aυ ĸwaĸυwa ĸapιgwa ѕana нιvι ĸarenιna?
Haa haa haa mkuu unamkataba nao nnNarudia tena, uza hata nyumba, mpe TP Mazembe ashinde.
Nimekucopy kasoro halftime results na stake tu.Mungu atusaidieMi nimeamua kuwaomba 2+ (over 1.5) tu hawa ...
View attachment 341076
hope hakuna mchawi hapo ... teh teh teh
Mkuuu Barcelona amekufa game 3 mfulu lizo sasa hi lazma ashinde hata kwa mkonoBarcelona lose
Man u draw
Liverpool win
Madrid 2-6
Bvb 2-6
Juve 2+