Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwenye bet usiamini sana point chache timu kuwa itashinda kuna mambo mengi yakuchunguza kabla ya kubet tuweni makini sana Wakuu
 
Mitim ya Norway n km wasengerema yan ukiifuata inalose uspoifuata ina win.,,,cjui inakulaga maharage ya wap mkeka wa kwanza washaondoka,nao[emoji35]
 
Yang African[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] wamchangani tunawaombea msawazishe hata mana naona msaliwa kimoja
 
wadau hivi kuna ligi ukibet lazima upotee na hizi cup hazitabiriki nyingi nusu.
Utrecht wamechaana dah mhindi kanipiga.
 
Week ya pili naambuli kipigo dhaaaaa cn ham

Yanga nae kakaliaa huko shida tupu
 
Back
Top Bottom