Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Nilidhan peke yangu mi timu Kumi kazingua Fiorentina tuujana inter na fiorentina wameniboa kweli. muhindi alikua aliwe m3. ngoja warudishe mtaji mda si mrefu nijilipue tena kwa ac milan, rivel plate na hjk helsink