Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mtaji umeshakata ... daah.

Sijui nianze kuweka Over 0.5 tu kwa timu 20 zinaleta odd ya 2-3 halafu stake ya maana. Maana hakuna namna sasa. Yani mitimu mingine inashindwa kutoa 2+ 🙁🙁
 
Hii sasa siiiifa 82": La Coruna 0 - 8 Barca

Join me on your prayers for this one,ikienda sawa tegemea mtaji toka kwangu.
Nilikufuata mkeka flani mchana but things hasn't been on our way,lets keep on moving while obeying the betting rules.
 

Attachments

  • 1461185613398.jpg
    1461185613398.jpg
    55.1 KB · Views: 41
Huyu anaweza tupa pressure leo maana tumbo limejaa vidonda vya tumbo kwa ajiri yake
 
moja ya wanafunzi wa Yesu alisema I will follow thee...
lakini kabla sijakufwata hiyo option inamaanisha nini
hahahaaaaaaa ..... inamaanisha kipindi cha pili kuwe na goli moja mpaka mawili, tunaangalia matokeo ya kipindi cha pili tu ... lisipofungwa goli tumeliwa pia yakifungwa yakafika matatu tumeliwa, ndio nilijaribu jana timu 17 , 4 zikazingua Roma kipindi cha pili zimefungwa tatu , pec zwole sampdoria na atleticomadrid hawakufunga kipindi cha pili , wengine 13 wote wakapata goli kipindi cha pili.... ndio ivyo yani unakuwa unaombea goli 1 mpaka 2 kwa kipindi cha pili
 
Join me on your prayers for this one,ikienda sawa tegemea mtaji toka kwangu.
Nilikufuata mkeka flani mchana but things hasn't been on our way,lets keep on moving while obeying the betting rules.


Sure #Upendodaima, jana mambo hayakuwa mazuri, wasaliti walikuwa wengi daaah! All the best kwenye huu mkeka wako. Hela inanikia hapa ..
 
jana inter na fiorentina wameniboa kweli. muhindi alikua aliwe m3. ngoja warudishe mtaji mda si mrefu nijilipue tena kwa ac milan, rivel plate na hjk helsink
 
Back
Top Bottom