prospilla
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 1,150
- 1,717
HaifungukiNimeona iyo sms kweny app ya m-bet naona jana watu walimtafuna vizuri uyu kanjibahii
Inasemaje mkuu
HaifungukiNimeona iyo sms kweny app ya m-bet naona jana watu walimtafuna vizuri uyu kanjibahii
Wametoa hongera kwa washindi wa mechi za jana ambapo kiasi cha Tsh400 million zimelipwa kwa washindi mbalimbaliHaifunguki
Inasemaje mkuu
Ahahaha,Ila mimi hadi leo bado hawajatuma.Nimeona iyo sms kweny app ya m-bet naona jana watu walimtafuna vizuri uyu kanjibahii
Ahahaha,Ila mimi hadi leo bado hawajatuma.
Hiyo sms inasemaje kwaani mkuu?
Inagoma kufunguka mkuu
Ina funguka mbona embu jaribu kulog in kwa kutumia browser tofaut na hiyo unayo tumia sasa ama kama unatumia app ya jf log off then log in ...attachments kuto kufunguka imekua n kero jf kwa sasa hao mods sijui hawa lioni ili tatizoInagoma kufunguka mkuu
M-bet wako mbona poa sana,Mimi nimeshinda laki na 90 wamenitumia Jana usiku.Daah! Mimi natumia M-BET, Ila kutoka jana nilivyoShinda,hadi sasa hivi bado hawaja nitumia Hela.......Wakiendelea hivi, M-BET nitawahama.
Mtaji ukishindikana kupatikana hapa tena basi itabidi niende likizo kidogo ...
View attachment 341386
mtaji ukipatikana sitacheza tena stake chini ya 50,000/-
kila la kheriMtaji ukishindikana kupatikana hapa tena basi itabidi niende likizo kidogo ...
View attachment 341386
mtaji ukipatikana sitacheza tena stake chini ya 50,000/-
thanx mzazi nimerudi rasmi janaMatee is back again,you are warmly welcome
sema kahela kenyewe hawanitumii wahuni hawa wakati wa kuzichukua wanachukua haraka sanathanx mzazi nimerudi rasmi jana
Bhac wanapendelea! Au inategemeana mtu na mtu, ahhahhahhhhhahahha! POOR ME.M-bet wako mbona poa sana,Mimi nimeshinda laki na 90 wamenitumia Jana usiku.
Karibu tena mdauthanx mzazi nimerudi rasmi jana
tupo pamoja sasa ni mwendo wa kumkalisha muhindi game 2 au 3Karibu tena mdau