bologna
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 1,489
- 1,432
Ila wadau nimejifunza kitu. Timu za ukanda wa america ya kusini zikicheza viwanja vya nyumbani mara nyingi zinashinda au zikipotea ujue sare hyo. Hawa wakina Ac milan, chelsea, na man city, Roma, Inter wamekua hawaeleweki kipindi hiki. Maji kupwa maji kujaa.