pri
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 828
- 675
Wanaonesha 41 million sasa mkipatia wengi hapo mgawanyoWadau ile super 1x2 ukipatia team zote 12 unapata sh ngapi???
Wanaonesha 41 million sasa mkipatia wengi hapo mgawanyoWadau ile super 1x2 ukipatia team zote 12 unapata sh ngapi???
Asante mkuu. Mpunga mrefu sana huo leo nimejaribu kucheza super 1x2 kwenye m-betWanaonesha 41 million sasa mkipatia wengi hapo mgawanyo
Chana tu huo mkee waturuki wamezingua.Wadau leo mie natoka hivi las palmas win, corck city win, kayserispor half time draw, midtjylland under 3.5 goals.
Iyo super 1×2 inachezwaje mkuu na inamaanisha nnAsante mkuu. Mpunga mrefu sana huo leo nimejaribu kucheza super 1x2 kwenye m-bet
Ahsante nimepata na nimeongea nae
Huyu std liege???Nice
Legia
Breda
Venlo
Metz
Standard Liege
All win.
Hapa imenibidi nifanye turbo maana zilibaki mbili..angalau mtaji wa kesho.![]()
Wako uwanjani tayari???kama bado wapige turboHatima yangu imebaki kwa hawa wawili ...
View attachment 341717
hongera mkuu
Kaharibu Venlo,jamaa wamechomoa dakika ya 86.Huyu std liege???