Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Apo wa waswas ni bar & ingolstan 04
..... Ww je
 
Mr


Mr Q, hizo timu za Italy serie B huwa siziamini sana. Naimani hiyo stake (10,000/-) ungeiwekeza kwenye hizi mechi za Australia zinazoanza mapema ungenenepesha mtaji. Ni hayo tu mkuu ... all the best
 
Jana ilikuwa ni "Earth Day" halafu hii kijani ilinifurahisha sana ... 🙂🙂
 

Attachments

  • upload_2016-4-23_8-28-7.png
    40.3 KB · Views: 50
Wakubwa habar za asubuhi, naombeni ushauri wa point 10tu nina laki1 apa nataka niitupie leo.
 
Ngoja na leo tujaribu bahati. Leo nimejisikiasikia kucheza football na hivi ndivyo nilivyodhani itakuwa




 
Nac breda nimekosa almost around 1m sababuu yake


Pole mkuu ... usikate tamaa, jaribu tena ! Mimi skuiz naogopa sana ushindi wa moja kwa moja, bora magoli. Ila naweza kuweka timu moja au mbili za ushindi wa moja kwa moja lkn majority zinakuwa ni magoli tu.
 
uliangushwa na stake vinginevyo mfuko ungekuwa umetuna


Aisee nilihisi angeweza kutokea mchawi mmoja hapo, nikaamua nifuate ile rule "Bet what you can afford to lose" ... maana mtaji ulikuwa umekata kbs.
 

Pole mkuu ... usikate tamaa, jaribu tena ! Mimi skuiz naogopa sana ushindi wa moja kwa moja, bora magoli. Ila naweza kuweka timu moja au mbili za ushindi wa moja kwa moja lkn majority zinakuwa ni magoli tu.
Hizo za magoli kachana velez wa argentina nimekosa mil 2 na nusu
 
Guys in play Games zinalipa PIA ILA Ni vizr Team ziwe Draw au moja ushafungwa Goals kama mbili hv and it's good when you from 80' na kuendelea weka pesa upate Money makes more money.
 
Hivi wakuu mnaotumia mkekabet mnatengenezaje mkeka mrefu kwa hawa mkekabet? maana mi nikiweka game mbili ya tatu zinapotea zote inabidi nianze upya, nimetumia browser kama mozilla, google crome, uc,baidu, opera bado shida inajitokeza. nikitumia simu haisumbui ila kwenye pc ndo shida na saiv cna simu naingia kwa pc
 
Unatumia simu Nkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…