Hivi wakuu mnaotumia mkekabet mnatengenezaje mkeka mrefu kwa hawa mkekabet? maana mi nikiweka game mbili ya tatu zinapotea zote inabidi nianze upya, nimetumia browser kama mozilla, google crome, uc,baidu, opera bado shida inajitokeza. nikitumia simu haisumbui ila kwenye pc ndo shida na saiv cna simu naingia kwa pc
Sure, hata mm huwa natumia simu ndio inakubali. Nimeshajaribu kwenye PC kwa google chrome, Internet Explorer na Safari zote zinagoma.
mkuu unatumia app ipi?nimemfata tena walewale
naomba maelekezo ya jins ya kujiunga meridian
Kwenye PC inasumbua ukitumia www.mkekabet.com hivyo inabidi utumie mobile version ambayo ni
m.mkekabet.com.
mkuu unatumia app ipi?
Hizi hint ulitoa prediction site gani.?Hatima yangu imebaki kwa hawa wawili ...
View attachment 341717
Shukrani nmefanikiwaSearch mkeka bet humuhumu utapata
inaniandikia this player not found wakati wamenitumia hadi email ya kuverifyMkuu ukifungua website ya meridian utapata maelezo yote - www.meridianbet.co.tz, simpo unafungua account (km unavyofungua account ya yahoo.com) then unakuwa na username & password.
Pia kuna maelekezo ya jinsi ya ku-deposit/withdraw hela kwenye Help menu.
inaniandikia this player not found wakati wamenitumia hadi email ya kuverify
mkuu mimi sasa nimefanikiwa imebidi ni install bluestack huko browser yoyote unaweza tumia, ni kama simu, hapa natafuta game za 2+ niweke mkekaSure, hata mm huwa natumia simu ndio inakubali. Nimeshajaribu kwenye PC kwa google chrome, Internet Explorer na Safari zote zinagoma.