Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Arsenal kaua Mikeka yooote.... Hakuna goli kipindi cha kwanza ...hakuna goli kipindi cha pili... Hajafikisha goli 2... Hajashinda.... Duuuuuh .....
Mie nilimtoa ila sioni dalili yoyote ya mikeka kupumua na leo, Sevilla sidhani kama atafikisha izo mbili na nyingine nyingi tu...biashara inakuwa ngumu sana nowadays.
 
Dah,hii ni balaa sasa,nikidhani ya magoli ndo fresh kumbe hola,mechi ya arsenal ya kushindwa kufikisha mbili kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…