Arsenal n la mama yake kbsa bora hata washuke darajaArsenal nyokoawe kwa kweli. Ameninyima 1.2mil
Huu mchezo hauhitaj hasra mkuuHata sielewi nini kilinitokea nikampa Arsenal Win
Anderletch wanamalizia mkeka wangu wa mwisho...sina hamu.Arsenal
Molde
Anderlech [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji57] madafantaz.zenyu
Yani hapa natweta kinyama mpaka najistukia watu wasinielew vibaya imebid nkagonge nondo mbili kichwa kikae sawaAnderletch wanamalizia mkeka wangu wa mwisho...sina hamu.
Duh..ndo basi tena hachomoki leo keshaongezwa la nne, mambo sio mambo kabisa.Yani hapa natweta kinyama mpaka najistukia watu wasinielew vibaya imebid nkagonge nondo mbili kichwa kikae sawa
Arsenal, andeltch, Rangers na fc Basel wameharibu mikeka kumi na tano. Khatari sana.
Usipende kurudia timu moja zaidi ya mikeka miwiliArsenal, andeltch, Rangers na fc Basel wameharibu mikeka kumi na tano. Khatari sana.
Gemu ngumu nadhan ndio maana kocha kamuanzisha coz bado mgeni na wapinzani hawajamsoma vizuriNaona Leo Samata kaanza first eleven
Siku hizi anaanzishwa sema hamalizi dk 90Naona Leo Samata kaanza first eleven