Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa meridianbet kama mechi imehairishwa (postponed) wanakupa odd 1. Sijajua kwa upande wa mechi kuvunjika tena dk ya 90 na timu moja ikiwa inaongoza 4 bila.
Lakini most probably watakupa odd 1, which doesn't make any difference.
 
Arsenal kaua Mikeka yooote.... Hakuna goli kipindi cha kwanza ...hakuna goli kipindi cha pili... Hajafikisha goli 2... Hajashinda.... Duuuuuh .....
Jana nilidesa mikeka yako ya magoli...nkatia kama 15000..leo tuna msiba wa pamoja...poor assnail
 
Jamani kuna mkeka huku ndani jana nilidesa najuta kuweka hela ndogo.. Yaani ulikuwa mtamu kama goli la tatu...

Bravo sana kwa wanajamvi wote wanaoamini katika kizuri kula na nduguyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…