Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 463
Subiri matokeo, betting kitu mbaya sanaMjomba naangalia mechi hapa.... Napoli kazidiwa sana....
Username meridian bet natumia Jina au acc no?
akaunt noUsername meridian bet natumia Jina au acc no?
Naam hakika...dah mda wa mhindi kurudisha ela ya weekend
Roma 1 Napoli 0....Subiri matokeo, betting kitu mbaya sana
Vyama Vinapita
Hii option ipo saf niliijarib jana mchaw mmoja ajaondoka na jero languKucheza kipindi cha pili goli 1 mpaka2... Inafaida kuu mbili
1) halftime wakitoka sare lazima timu moja wapo ilazimishe ushindi kipindi cha pili
2)akifungwa mtu cha kwanza ... Iliyofungwa lazima ilazimishe kutafuta goli hivyo watafunguka sana wanaweza kufunga au kufungwa tena.... Na ndio mchezo nnaocheza siku hizi
Pole mdau ...Jana Villarreal kapita na Kumi yangu....Hii option ipo saf niliijarib jana mchaw mmoja ajaondoka na jero languView attachment 342366
yakiwa zaidi ya magoli mawili nini maana yakeKucheza kipindi cha pili goli 1 mpaka2... Inafaida kuu mbili
1) halftime wakitoka sare lazima timu moja wapo ilazimishe ushindi kipindi cha pili
2)akifungwa mtu cha kwanza ... Iliyofungwa lazima ilazimishe kutafuta goli hivyo watafunguka sana wanaweza kufunga au kufungwa tena.... Na ndio mchezo nnaocheza siku hizi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] its a time for Heras Verona to make it happen..make it DRAW..Kucheza kipindi cha pili goli 1 mpaka2... Inafaida kuu mbili
1) halftime wakitoka sare lazima timu moja wapo ilazimishe ushindi kipindi cha pili
2)akifungwa mtu cha kwanza ... Iliyofungwa lazima ilazimishe kutafuta goli hivyo watafunguka sana wanaweza kufunga au kufungwa tena.... Na ndio mchezo nnaocheza siku hizi
Umeliwa....yakiwa zaidi ya magoli mawili nini maana yake
Vyama Vinapita