Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi ya Tottenham nimeweka kipindi cha kwanza lipatikane walau goli moja Over 0.5 ikiwezekana hiyo laki tatu na nusu kibindoni.

Naishi kwa matumaini
Jiandae kuzibinya aisee..

Pia hiyo laki 3 kwa stake ipi? maana hata ukiweka zile laki 5 zako haifiki laki 3 faida kwa odd hiyo ya 1.24.
 
UMECHANIKA
Kesho natoka hiviiiii (hii mikeka kwawanao tumia m-bet )
Mkeka Namba Moja

Arsenal Tula Win
Fc Astra Giurgiu Win
Fakel Voronezh Win

MKEKA NAMBA MBILI

Tottenham Win
Celta Vigo Win
Roma Win
Verona vs AC Milan Draw
MKEKA NAMBA MBILI BADO TIMU MBILI TU
 
Haaaaaaa! Sort bhana kumbe hiyo laki tatu ni pamoja na mtaji wangu. Half wakati nabet hiyo Odd ilikuwa 1.33 kwa sasa IPO 1.28

Jiandae kuzibinya aisee..

Pia hiyo laki 3 kwa stake ipi? maana hata ukiweka zile laki 5 zako haifiki laki 3 faida kwa odd hiyo ya 1.24.
 
Wakuu deposit problem meridian bet nikiclick deposit inakuwa blank...advise please...nataka kubet live games all night..
 
Wakuu deposit problem meridian bet nikiclick deposit inakuwa blank...advise please...nataka kubet live games all night..


Unatakiwa kudeposit kupitia m-pesa bro

1. Ingia menu ya m-pesa
2. Bonyeza option ya 4 - Lipa kwa m-pesa
3. Ingiza namba ya kampuni - 170066
4. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo
5. Weka kiasi
6. Namba ya siri

Baada ya muda (usiozidi dk 5 kwa kawaida) hela itareflect kwenye account yako ya meridianbet
 
Shukran sasa nkienda kwenye deposit sipat reference number...au inakuwaje mkuu..thanks in advance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…