Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

JONKOPINGS VS FalkenBerg tips
Jonkopings last 5 matches ameshinda mechi 3,draw 1 na kapoteza mechi 1.akiwa n yumbani amecheza mechi 2 nakupata jumla ya magoli manne 4 na ameruhusu goli 3 kwenye hizo mechi 2 za n yumbani. Tukimuangalia mpinzani wake Falkenberg last 5 matches ameshinda 1 na kufungwa mechi 4 na ni wamwisho kwenye msimamo wa ligi huko Sweden. Akiwa ugenini amecheza mechi 2 tuu ametoa over 2.5 goals na amekuwa defeated kweny handicap zote kwenye hizo mechi mbili za u genini.Leo tutegemee magoli mengi kutoka kwa Jonkopings Sodra. I bet for HOME WIN & OVER 1.5 Goals
 
Orlando Pirate vs Polkwane tips
Orlando pirates last 3 home performance ni kwamba ameshinda zote, lakini Polkwane Last 6 away performance ame draw 2 na kufungwa 4.Hui inamaanisha timu ya n yumbani ipo karibu Kabisa na ushindi.I bet FT 1.
Kaka huyu Mamelod sundowns unamuonaje?
 
MKEKA NAMBA MOJA
LILLE v ANGERS (X2)
IFK GOTEBORG v MALMO FF (X2)
ATLETICO MADRID v BAYERN MUNICH (X1) OR (GG)

MKEKA NAMBA MBILI

NUNEATON WIN
JONKOPINGS SODRA WIN
FK JABLONEC v SPARTA PRAHA (GG)
 
Bora wewe yakwangu inasoma tayari ipo kwenye sim inikitoa naambiwa sina salio,ila salio linaonekana lipo nawapigia voda wanazingua.NGOJA NISUBIRI.
 

Betting ni mchezo hatari,utakukuta GG in 1.98 na no GG ina 1.46 lakini inatoa GG!
 
Nikiupdate bet won msiseme sikuwaambia.😉😀😛
 

Attachments

  • 1461757453327.jpg
    56.3 KB · Views: 47
MKEKA NAMBA MOJA
LILLE v ANGERS (X2)
IFK GOTEBORG v MALMO FF (X2)
ATLETICO MADRID v BAYERN MUNICH (X1) OR (GG)

MKEKA NAMBA MBILI

NUNEATON WIN
JONKOPINGS SODRA WIN
FK JABLONEC v SPARTA PRAHA (GG)
Mkuu Odds zimekaaje kwenye hiyo mikeka miwili
 
Kijiji cha mtakuja tu.naona simanzi imetawala ngoja tuone na leo. Ukisikia mjini kuna waganga wakutabir kubet ndo tunakoelekea sasa
 
Woga wako ndo umaskini wako
Tamaa iliuwa fisi
Shujaa hutajirika
Kesho naweza kuamka na mamilioni humu
Mkono unawasha washa ngoja niandae kamkeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…