Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting ni mchezo hatari,utakukuta GG in 1.98 na no GG ina 1.46 lakini inatoa GG!

Hivi ukichagua Option ya BOTH TEAM TO SCORE, ukasema NO.....je, ikitotea timu moja imefunga? Au zisipofungana zoote; utakuwa umeshinda au?
 
Hivi ukichagua Option ya BOTH TEAM TO SCORE, ukasema NO.....je, ikitotea timu moja imefunga? Au zisipofungana zoote; utakuwa umeshinda au?

Bet won hapo,both team maana yake team mbili zifungane yani 2-1,1-1 n.k na ukisema no ikiwa 0-0 au 1-0 au 0-0 ,2-0 hapo pia bet won.
 
Ishafika halftime timu zote 4 kwa option ya win wamepoteza hadi sasa,labda yatokee maajabu la sivyo kanji kashachukua changu.
 
Jaman Kafa nani leo humu Ndani,Mbona kimyaaaaa ?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nilimuua B.Munich,Mkeka bet hawajanitumia kamtaji kangu mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…