wakuu nimefanya withdraw meridian inachukua muda gani kutumiwa pesa mwenye contacts zao anisaidie
wakuu nimefanya withdraw meridian inachukua muda gani kutumiwa pesa mwenye contacts zao anisaidie
buddy karibia aseeeeKawaida ni ndani ya saa 24 ... lakini inaweza kutokea ukapata kabla ya saa 24 kuisha.
Shaktar winnaombeni 0dds mbili tu wanajamvi
shakter ana 1.84 meridsShaktar win
1.DEPORTES TOLIMA (W) 2.03naombeni 0dds mbili tu wanajamvi
1.DEPORTES TOLIMA (W) 2.031.DEPORTES TOLIMA (W) 2.03
2.GIF SUNDSVALL (W) 2.15
3.SHAKHTAR DONETSK (W) 2.49
4. BUCARAMANGA (W) 2.47, hizo odds ni mjibu wa m-bet. Play Responsibly na chagua kutoka humo. Kwa muda mrefu nafuatilia michezo na siku nikiamua kuweka dau mtanitambua. Unaweza kuangalia katika hizo ukawapa double chance(s). All the best.
Wakuu maeneo ya Tabata betting service naweza pata wapi??
Silkeborgnaombeni 0dds mbili tu wanajamvi
nimeshajilipuaSilkeborg
1.DEPORTES TOLIMA (W) 2.03
2.GIF SUNDSVALL (W) 2.15
nazipa double chance..
naombeni 0dds mbili tu wanajamvi
KaribuHodi
thanks ngoja niingie mkekabetAllan248, nyingine hizi km bado una stake ...
BK Hacken vs Gefle | odd 1.32
IF Elfsborg vs Djurgarden | odd 1.34
FC Kray vs Alemannia Aachen | odd 1.26
zote HT over 0.5 (yani lipatikane goli moja au zaidi kipindi cha kwanza) = Total odd = 2.23
Double chance katika tie moja maana yake ni kushinda au kutoa draw, kwa leo Shaktar kule meridian kapewa Promo Offer na hivyo uko limited kwenye options. Tazama hapa[emoji116]Kutoa Double chance ndo kufanyaje? Wakuu