malela.nc
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 261
- 350
Wadau jana nlibetia pesa ya kodi ambayo natarajia kulipa mwanzoni mwezi wa tano kiasi cha 180,000 kwa miezi sita.Kwa mategemeo ya kujiongezea kidogo. Lakn mambo yakawa ndivyo sivyo badaa katimu kamoja kukosa ata goli moja.
Hapa akili imenock kama mjuavyo kipindi hiki pesa imekua ngumu mno. Hivyo basi atakaebarikiwa naomba msaada wake nipo katika wakati mgumu mno.
Namba: 0744309911 au 0716421233 natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu.