Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sawa mkuu tupia mkeka tudese

Sawa mkuu ...

Betting for fun ... wale wazee wa
2+ & 3+

upload_2016-4-29_10-51-52.png

Don't take it seriously.

Atakayependezwa chambua weka stake ya wastani. Mi nimeweka Jero (500) just for fun today (ila nimechambua pia 😉😉 ligi zinazotoa magoli mengi nimechukua timu 1, 2 au 3).
 
Sawa mkuu ...

Betting for fun ... wale wazee wa
2+ & 3+

View attachment 343307

Don't take it seriously.

Atakayependezwa chambua weka stake ya wastani. Mi nimeweka Jero (500) just for fun today (ila nimechambua pia 😉😉 ligi zinazotoa magoli mengi nimechukua timu 1, 2 au 3).
poa poa mkuu
 
zipo 20 timu ngoja nichambue 10 sa cjui mchawi nani hapo
 
mechi za leo hazitabiliki kabisa.
1-sc freiburg(kinara wa bundesliga 2,anatarajia kupanda daraja anashika nafasi 1 ktk ligi)

2-hjk helsink(bingwa wa finland anashika nafasi 1 ktk ligi)

3-as trencin (huyu ni bingwa wa slovakia miaka 3 mfululizo anashika nafasi 1 ktk ligi.)

4-mlada boreslav (anashika nafasi 3 ktk ligi
5-st pauli anashika nafasi 4 ktk ligi

freiburg=1.89
hjk helsink=1.51
as trencin=2.29
mlada boreslav=1.80
st pauli=2.20
mzigo nimeweka elf 20.
possible win laki 5
 
naomba odds 3.

Za bila presha ni hizi ... 🙂🙂🙂

upload_2016-4-29_12-47-13.png

Ligi zao ni km ifuatavyo ...

Bosnia & Herzegovina premier league
Premera Laliga
Turkey super ligi
Germany Regionalliga Bayern
Ireland Premier league
 
Al Ahli Dubai-Bani Yas
Final Score
1.25
1

P S G-Rennes
Final Score
1.31
1

Paderborn 07-SC Freiburg
Final Score
1.81
2

PK 35 Vantaa-SJK
Final Score
2.00
2

Slovan-Trencin
Final Score
2.05
2

St. Pauli-1860 Munchen
Final Score
2.30
1

Dynamo Moscow-Amkar
Final Score
2.05
1

Augsburg-Koln
Final Score
2.20
1

I accept odds changes!
Total Stake
10000.00
Total odd
126.05
Payout
1260515.29
 
Jamani, hivi ni mimi tu au wote, nimeweka pesa Mkekabet asubuhi but up to now bado haijaingia...
 
Back
Top Bottom