sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,741
Mbona naitumia hapa sema kwel inakuwa slow sananaona mkekabet mpaka muda huu chenga.
Mbona naitumia hapa sema kwel inakuwa slow sananaona mkekabet mpaka muda huu chenga.
Nilijaribu timu 20 nkaweka 15/20 ...nlichopata ni umakunduchi.....alaaa! huo utakuwa usengerema mwanza sasa
Mbona naitumia hapa sema kwel inakuwa slow sana
Labda uishiwe damu tutajitolea. Si pesa mkuu.Wadau jana nlibetia pesa ya kodi ambayo natarajia kulipa mwanzoni mwezi wa tano kiasi cha 180,000 kwa miezi sita.Kwa mategemeo ya kujiongezea kidogo. Lakn mambo yakawa ndivyo sivyo badaa katimu kamoja kukosa ata goli moja.
Hapa akili imenock kama mjuavyo kipindi hiki pesa imekua ngumu mno. Hivyo basi atakaebarikiwa naomba msaada wake nipo katika wakati mgumu mno.
Namba: 0744309911 au 0716421233 natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu.
Labda uishiwe damu tutajitolea. Si pesa mkuu.
Hapa sina cha kuongeza maana nimelike na ku quote...niki click kwenye like ili kuongezea ita unlike.Kanuni ya kwanza kabisa ya responsible gambling inasema bet what you can afford to loose.... Labda ntakuwa nimeacha wengine ... Kanuni ya kamari inasema "cheza unachoweza kupoteza" .... Kwamba hata "ukiliwa" majukumu yako hayatoyumbishwa..... Umekosea hiyo kanuni ..... Hatuna msaada ...ila kama unapoteza maisha kwa ajili ya Maji,figo ,damu ...tunaweza kufikiria pole sana....... Mtongoze tu fazahouse
Ni ukweli tu ndugu....Hapa sina cha kuongeza maana nimelike na ku quote...niki click kwenye like ili kuongezea ita unlike.
Mbona 2+ ipo angalia vizuri labda kama unazwekea game zilizoanzaWakuu nikiingia upande Wa magoli meridian nakutana na option ya 0-2 na 3+, nifanyeje ili nipate option ya 2+??? Msaada tafadhali
Click mechi husika. ...utapata machaguo zaidiWakuu nikiingia upande Wa magoli meridian nakutana na option ya 0-2 na 3+, nifanyeje ili nipate option ya 2+??? Msaada tafadhali
Jamani hii mkekabet vipi? mpaka saizi hela haijaingia washenzi hawa sijui wanampango gani.
Washenzi sana hawa mbuzi.Pole sana mkuu, na muda naona unayoyoma wapigie kaka.
Nime-click ila sioni naona hizi mbili tuClick mechi husika. ...utapata machaguo zaidi
ndio ya kwao n fixed U/O 2.5M-BET hakunaga 1.5/2+ maana naona 2.5 tu?
2± Mbona ipo hapo ina 1.13 au we unaangaliaje mkuu angalia kiboma kimoja baada ya kingineNime-click ila sioni naona hizi mbili tu![]()
Hapo kwenye Total goal..Nime-click ila sioni naona hizi mbili tu![]()
Shukran mkuu nimekupataHapo kwenye Total goal..
Nan alinifuata kwa kuchagua DRAW kwa Dinamo Moscow ili nimualike mvinyo......bet won.....huu mchezo hauhitaji hasira[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]Mkeka 2 no hivi
C.RIZESPOR-WIN
DINAMO MOSCOW -HAPA DRAW OR WIN anything can happen take your own risk
Shanghai SiPG-WIN
SHANGDON LUNENG- GG [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]