Mkuu pole ila kwenye betting..you have to lose what u can afford..watu wamekuwa vichaa,wamejiua source ni betting.Jana nilipata laki 2 mkeka wa pili ,mkeka wa kwanza kaua na mkeka 3 liver kaua kama inavyoonekana .nashauri kwa ambaye bett timu mbili au tatu anifuate he won't regretsWadau jana nlibetia pesa ya kodi ambayo natarajia kulipa mwanzoni mwezi wa tano kiasi cha 180,000 kwa miezi sita.Kwa mategemeo ya kujiongezea kidogo. Lakn mambo yakawa ndivyo sivyo badaa katimu kamoja kukosa ata goli moja.
Hapa akili imenock kama mjuavyo kipindi hiki pesa imekua ngumu mno. Hivyo basi atakaebarikiwa naomba msaada wake nipo katika wakati mgumu mno.
Namba: 0744309911 au 0716421233 natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu.
Njia gani iyo bwana mapesa tuambie bna mna majanga yamezidi due!!!!Nina njia ambayo kwa 80% kukosa ngumu
Ndio maana tupo huu, ebu tupe hayo maujanja kwa pamoja na sisi tufaidi matunda [emoji39]Nina njia ambayo kwa 80% kukosa ngumu
tupia desa mkuuTunatesa kwa zamu Leo weekend imeanza siku za kumla mhindi zimewadia .najilipua muda sio mrefu
It takes take to illustrate, ntajitahidi by weekend Jpili ntafanya hivyo ila kwa sasa jus follow my foot prints...again u won't regret[emoji83] [emoji83] [emoji84]Ndio maana tupo huu, ebu tupe hayo maujanja kwa pamoja na sisi tufaidi matunda [emoji39]
FULL TIME
stabaek ameshinda 7
Sogndal ameshinda 1
Nimeshapata laki1 ya mafuta wiki nzima
buddy thanks sema stake ilikuwa ndogo
nmepumzka had jmos nianze kubet tmu 2 au 3 zenye ihakika.Hongeren kwa wale waliomlza Mhindi na Mzungu
sawa mkuu tupia mkeka tudeseAisee utapumzikaje leo na ndo siku ya kutengeneza hela, halafu jmoc unatupia zile dizain za "staki nataka" unapiga mpunga mrefu. Ngoja wadau waanze kutupia mikeka humu udese ... usiache hela leo kaka.
Dude umebutua jana[emoji38] [emoji38] [emoji39] BG upIt takes take to illustrate, ntajitahidi by weekend Jpili ntafanya hivyo ila kwa sasa jus follow my foot prints...again u won't regret[emoji83] [emoji83] [emoji84]