Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sorry mkuu, hv kwenye under and over, km umepredict over then team ikashinda 2-0 hiyo ni over au under
inategemea umeweka over ya namna gan.,kuna over ya 0.5=1+,1.5=2+,2.5=3+
kwa hiyo ya buddy n kuanzia goli tatu
 
Hapa ni Mwendo wa over 1.5 or 2.5 kwa leo!!!
 
Mkeka namba 2
Besiktas -WIN
Atletico Madrid -Win
Arsenal-Win
Locomotive Moscow -Draw or Locomotive Win hapa ni kama Jana take your own risk[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Mkeka no. 3
Giresunspor-OVER 2.5
Besiktas- WIN
Molde Fk- WIN
SK Sturm Graz- WIN

Good lucky Fellaz...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Sorry mkuu, hv kwenye under and over, km umepredict over then team ikashinda 2-0 hiyo ni over au under


Mkuu inategemea umeweka Over/Under ya magoli mangapi.

Kwa mfano,

i) 0.5 Over/Under - km utaweka over, maana yake lipatikane zaidi ya goli moja na kuendelea. Ukiweka under maana yake kusiwe na goli.
ii) 1.5 Over/Under - km utaweka over, maana yake magoli yapatikane mawili au zaidi ya mawili. Ukiweka under maana yake goli lisizidi moja. Etc.

Kwa meridianbet kuna 0-2 na 3+, yani uchague aidha hiyo mechi kuwe na magoli hadi mawili tu (yani yasizidi mawili) au kuwe na magoli matatu na kuendelea (3+)
 
Jaman leo vipi madrid na barca naona hamuwazungumzii pana mchawi nini kat yao
 
mkuu n lig ya nchi gani?


Pole kwa kuchelewa kureply man ... hiyo ni ligi ya Australia. Huwa inachezwa asubuhi sana. Hawa jamaa aisee huwa wanafungana km hawana akili vizuri. Kwa wale wanaopenda kuweka ile option ya 3+ ndo mwake humu. Hebu check mechi za leo ambazo zimeisha tyr ..



hizo mechi zilianza saa mbili na nusu asubuhi. Mi sikuwa na kitu, ningetupia 20 saiv ningekuwa na kilo na ushee 🙂🙂
 
Kubet Ukiwa Unabet Buku Kama Mimi Alafu Unajipatia Hela Za Soda Tu From 1k To 30k Wala Haina Tatizo,Nikijiwekea Buku Nawapa Juve,Psg,Bayern,Borussia Na Leicester Na Napoli Najipatia 7k Yangu Basi Maisha Yanaenda Tu. Naweka Buku Napata 7k Faida Ya 6k Wala Sikomplicate Mambo Kutaka Kushinda Matrilioni.
Walaaaa Kubet Hakuna Shida,Bet Kiafya Kama Mimi,Buku Tuuuuuuuuuu!
 
Leo kuna timu zitaliza watu
Atletico
Real Madrid
Bayern
na Kesho Man city
Hawa jamaa wana mechi ngumu sana j4 na J5 hawata funga mziki mnene ili kujiweka fiti na UEFA kama Madrid leo atapita na wengi...Mark my words
 
Dortmund
Really Madrid
B,Munich
Evaton
Barcelona
Wenger
Celtic
levakuzen
Fiorentina

All
Over 3+

Maon yenu wakuu hapo
 
Reactions: pri
Meridian kuna options nzur aisee nmejiunga sasa naomba mnielekeze jinsi ya kudeposit mkwanja
 
Wakuu nikiingia upande Wa magoli meridian nakutana na option ya 0-2 na 3+, nifanyeje ili nipate option ya 2+??? Msaada tafadhali
mkuu, hata kama 2+ haipo kwenye option wee andika tu mashine itasoma. hakuna mechi inayokosa kuwa na option ya 2+. hata 0-3 haipo kwenye dodoso lakini ukiandika huwa inatoka. umeona eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…