Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu mim m bet sijui kwangu ndo tatizo peke take au laah. Nkiifungua kwenye browser nayofungulia kawaida inafunguka kama nafungulia kwenye opera min yan mlolongo wake unaboa kishenzi yan vp kuna aliyekumbwa na dhahama hii.
Download app mkuu uko fasta
 
Niliandika humu betting ina fitina zake sikueleweka, nadhani kwa mfano huu ujumbe umefika. Ukiona ushindi wa Bolton haumsaidii chochote na Hully City angeweza kupambana walau amkimbie Derby. Bado game haijatoa hata goli mbili[emoji35] [emoji17]
Hull city hana cha kupoteza mkuu ana ngojea play off ya kufuzu epl game zenye zimebaki moja iyo ligi focus n burnley, brighton n middlebrough jana middle kazingua anapoint 88 mechi 45 n burnley n brington wana point 87 mechi 44 j'3 kila mmoja ana game yke nafac ya kupanda epl moja kwa moja n mbili tu hawa ndo wakuwatolea macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…